TEA YATOA MKOPO WA SH. BILIONI TATU KWA TAASISI YA ELIMU TANZANIA(TIE)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa, Sifuni
Mchome akizungumza wakati wa makubaliano ya mkataba wa mkopo kati ya
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu
TEA, Joel Laurent na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TIE,Dk.Paul Mush.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome
akisaini makubaliano ya mkataba wa mkopo kati ya Mamlaka ya Elimu
Tanzania (TEA) Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) iliyofanyika leo jijini
Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dk Leonard Akwilapo (kushoto) na Kaimu MkurugenziMkuu wa Mamlaka ya Elimu
Tanzania (TEA), Joel Lauren (kulia) wakitiliana saini hati za
makubalino ya mkopo wa Sh Bilioni 3 ambazo TEA itaipatioa TET.
Katikati
ni Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Sifuni Mchome.katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TEA na TIE mara
baada ya kumalizika makubaliano kati ya taasisi hizo iliyofanyika leo
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment