TIGO YATOA MCHANGO WA MADAWATI 700 KWA SHULE ZA UMAA MKOANI MBEYA.
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, (kushoto) akimkabidhi
madawati yaliyotolewa na kampuni hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas
Kandoro, Tigo imetoa msaada wa madawati 700 yenye thamani ya 49 milioni
kwa shule za msingi za wilaya za Rungwe, Mbozi na Mbeya Mjini. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia) akiwa ameketi kwenye dawati na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo nchini, Diego Gutierrez, mara baada ya kampuni ya Tigo kumkabidhi mhe. Kandoro madawati 700 yenye thamani ya Sh49 milioni kwa shule za msingi za wilaya za Rungwe, Mbozi na Mbeya
|
No comments:
Post a Comment