Thursday, 24 September 2015

PUGU BOYS

WANAFUNZI WALIOSOMA PUGU BOYS WAJIDHATITI KUANZISHA PUGU ALUMNAS.

 Baada ya miaka kalibia 25 baadhi ya wanafunzi waliosoma PUNGU BOYS wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wanafunzi wa PUGU BOYS wakiwa katika majadiliaono jinsi ya kuanzisha PUNGU ALUMNAS.
 Wakiwa wanabadilishana mawazo na kupeana mikakati kuhusuu uanzishaji wa Pugu alumnas.
Viongozi walio teuliwa kuendesha kikao cha PUGU BOYS wakiwa katika majadiliano. 

 Wakiwa katika picha ya pamoja na Kilanja wao Mkuu wa enzi hizo,aliyevaa shati ya mistari mwekundu na suruali ya udongo (wakatikati).

No comments:

Post a Comment