Thursday, 24 September 2015

PSPF YADHAMINI UFUNGUZI WA ASASI YA HIFADHI KIJAMII YA WANAFUNZI WA IFM

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa pensheni wa PSPF ABDUL NJAIDI akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa asasi ya hifadhi ya jamii,iliyoanzishwa na wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).
 Wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha wakiwa katika uzinduzi wa asasi yao
 Bwana.Hassan Abdulrahman,rais wa kwanza wa asasi hiyo ya hifadhi ya jamii akizungumza wakati wa uzinduzi.
 Mkurungezi wa utafiti, tathimini na sera wa mamlaka ya usimamizi naudhibiti wa sekta ya hifadhi ANSGAR MUSHI akikata utepe kuashiria uzinduzi wa asasi hiyo ya hifadhi ya jamii. 
Picha ya pamoja ikiwa imejumuisha walimu wa chuo cha usimamizi wa fedha,wanafunzi,mkuregenzi wa utafiti,tathimini na sera ya mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii na afisa uhusiano mwanadamizi wa pspf na wangeni wa halikwa katika uzinduzi huo 
Mkuregenzi wa utafiti,tathimini na sera ya mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii bw.ANSGAR MUSHI akizungumza wakati wa uzinduzi wa asasi ya hifadhi ya jamii ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).

No comments:

Post a Comment