SIMBA CEMENT YATOA MSAADA MZUMBE SECONDARY.
Kaimu Mkuu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzumbe ya mkoani Morogoro, Bi.
Jemma Kimolo akipokea msaada wa tani 30 za saruji kutoka kwa Meneja
Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (Simba Cement), Diana Malambugi
(wa pili kushoto) zilizolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa majengo
ya vyoo, mabweni na ofisi za walimu za shule hiyo. Hafla ya makabidhiano
ilifanyika Saruji, Pongwe, Tanga jana. Wengine pichani ni maofisa wa
kampuni na baadhi ya wanafunzi waliosoma Mzumbe.
Kaimu Mkuu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzumbe ya mkoani Morogoro, Bi.
Jemma Kimolo akipokea msaada wa tani
30 za saruji kutoka kwa Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga
(Simba Cement), Unguu Sulay (wa pili kushoto) zilizolewa na kampuni hiyo
kusaidia ukarabati wa majengo ya vyoo, mabweni na ofisi za walimu za
shule hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Saruji, Pongwe, Tanga jana.
Wengine pichani ni maofisa wa kampuni na baadhi ya wanafunzi waliosoma
Mzumbe.
Mwenyekiti
wa umoja wa wanafunzi waliosoma Shule ya Sekondari Mzumbe, ya mkoani
Morogoro, Edwin Talawa akipokea msaada wa tani 30 za saruji kutoka kwa
Meneja Huduma za Jamii na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Saruji Tanga
(Simba Cement), Bi. Mtanga Noor (wa pili kushoto) zilizolewa na kampuni
hiyo kusaidia ukarabati wa majengo ya vyoo, mabweni na ofisi za walimu
za shule hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Saruji, Pongwe, Tanga
jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni na baadhi ya wanafunzi
waliosoma Mzumbe.
No comments:
Post a Comment