GLOBAL EDUCTION LINK (GEL) YAZIDI KUPATA MAFANIKIO YA KUSAFIRISHA WANANFUNZI WAPATAO 70 NCHINI CHINA.
Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje
ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China
kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa GEL, Abdulmaliki Mollel
alisema kuwa wanamshukru Mungu kwa kuendelea kuwafungulia milango ya
kuendelea kupokea wanafunzi wanaopenda kusoma vyuo nje ya nchi.
Pichani: inawaonyesha wakiwa tayari katika mstari wa kukaguliwa ili
waweze kuanza safari yao ya kwenda nchini China kimasomo.
Mmoja ya wazazi akikagua nyaraka za mwanae kabla hajasafiri.
Baadhi
ya wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vya nchini China wakiwa Uwanja wa
ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam
kungojea kuondoka. Wanafunzi hao wanaondoka nchini chini ya usimamizi
wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya
nje ya nchi.
Mzazi akimuaga mwanae kwa bashasha.
No comments:
Post a Comment