Julius J. Julius ni Mtanzania Pekee alieingia kwenye mashindano ya DIGITAL PITCH COMPETITION ambayo yantarajiwa kufanyika nchini Afrika Kusini,kijana huyu ndiye anayewakirisha nchi ya Tanzania peke yake.Basi kama Mtanzania unaombwa kumpiga kura kadri uwezavyo ili aweze kuipeprusha Bendera ya Tanzania.
Jinsi ya kupiga kura bonyeza hapa http://woobox.com/t7kzv8-cpk/gallery/SWEgB8FnaAg
kisha unakuwa umeshampigia kura huyu kijana waKITANZANIA na unaweza kurudia kupiga baada ya masaa sita tena.Tuonyeshe uzalendo kwa kumsaidia kijana huyu.
No comments:
Post a Comment