Monday, 28 September 2015

BENKI YA EXIM YATOA MSAADA WA MADAWATI SHINYANGA.



Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga Bw. Emmanuel Nkelebe akijiandaa kukata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 50 kwa shule ya msingi Mapinduzi ‘A’ iliyopo Manispaa ya Shinyanga, ikiwa ni muendelezo wa mpango wa benki hiyo katika kuboresha ubora wa elimu hapa nchini. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mwenyeki wa Bodi ya shule hiyo Bw. Sylvester senga (wa tatu kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.


Meneja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Shinyanga Bw. Emmanuel Nkelebe akizungumza na mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mapinduzi ‘A’ iliyopo manisipaa ya shinyanga mara baada ya kukabithi madawati 50.




No comments:

Post a Comment