YOUTH AWAKENING FOR CULTURAL AND WILDLIFE TOURISM DEVELOPMENT ORGANIZATION (YACWDO) iliopo chini ya wanafunzi wa mwaka wa pili tourism(UTALII) SAUT- MWANZA watembelea kivutio cha asili BUJORA MUSEUMS kilichopo kisesa
JOHN LWEGANWA ambaye ndio Mwenyekiti YACWDO akiwa katika pozi la picha hapo kwenye kituo cha utali.
Mwenyekiti msaidizi Bw. GEORGE W. LEMA akiwa kwenye ngazi za kuelekea kwnye nyumba ya mfalme wa kisukuma.
Katibu wa YACWDO akiwa katika pozi maridadi
John Valerian, Uagai usiri, Raymond Kisasembe na Mwenyekitiki Msaidizi George W. Lema kwenye chumba cha ngoma zenye miaka 500 cha mfalme wa kisukuma.
John Kayanda, Hagai Usiri na Naomi Nkya katika selfie.
Benitto Mosha, Kachenje Mzirai, Marco Evarist, Hagai Usiri, Raymond Kisasembe, George W. Lema, Daniel Yowas na wengne katika picha ya pamoja.
Members wa YACWDO katika picha na nyoka waliopo BUJORA.
Members waYACWDO kwenye picha ya pamoja.
Imeripotiwa na George W.Lema kutoka St.Augustine Mwanza.
No comments:
Post a Comment