Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akiwa pamoja na viongozi wa ISPA na wa Amson wakifanya usafi katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Idara ya Hifadhi ya jamii (aliye vaa kofia) Ms. Antimalia akifanya usafi pamoja na wanafunzi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam akipokelewa na baadhi ya wafanyakazi na wanafunzi hapo Hospitalini.
Akipokea maelekezo na changamoto mbali mbali kutoka kwa Mganga mkuu wa Hospitali ya Amana ( aliye vaa tisheti ya mistari).
Vionngozi wa ISPA pamoja na Mkuu wa Kitivo cha Bima na hifadhi(wakushoto ndugu Dkt.Abdallah Saqware) ya jamii akipeana mkono na mgurugenzi mkuu wa Amson Group na anaefatia ni mkuu wa kitivo cha Hifadhi ya Jamii Ms. Antimalia Ladsilaus .
Picha ya pamoja ya viongozi ISPA,walimu wa IFM pamoja na wakuregenzi wakuu wa Amson Group.
Mkuu wa Kitivo cha Bima na Hifadhi ya Jamii Dkt.Abdallah Saqware akimzungumza na kushuruku kwa niaba ya wanafunzi na kuwapongeza kwa kujito na kujituma.
Mkurungenzi Mkuu wa Amson Group akisikiliza kwa umanikini ancho kiongea mkuu wa kitivo cha bima na hifadhi ya jamii
Rais wa ISPA Bwn.Innocent Kembo akizungumza na wandishi wa habari juu ya swala la usafi na kumshukuru Rais wa nchi Dkt.John Pombe Magufuli kwa kuanzimia kusherekea siku ya uhuru kwa kufanya usafi.
Mkuu wa Mkoa wa dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akizungumza na wandishi wa habari.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Amson group na wanafunzi wa IFM pamoja na Walimu wao.
Great people do great things. God bless you
ReplyDeleteThanx alot
ReplyDelete