Friday, 16 October 2015

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI AZANIA WAJIFUNZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam akizima moto kwa kutumia kizimia moto cha aina ya dry powder baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mkoa wa Ilala

 Wanafunzi wa shule ya Secondari Azania ya jijini Dar-es-Salaam wakizimamoto kwa kutumia blanketi ya kuzimia moto baada ya kupewa mafunzo ya kukabiliana na majanga ya moto kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Ilala.
 Tayari tumeuzima walisikika wanafunzi wa shule ya Sekondari Azania jijini Dar-es-Salaam baada ya kufanikiwa kuuzima moto kwa kuufunika kwa kutumia blanketi maalumu, huku wakishangiliwa mafunzo hayo utolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini bila malipo yoyote

No comments:

Post a Comment