BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA AKABIDHI MABEGI NA MADAFTARI.
Balozi
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa
mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida,PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada
wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje
kidogo ya Manispaa ya Dodoma
Balozi
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akitoa hotuba yake
wakati wa kukabidhi msaada wa mabegi ya shule na madaftari kwa wanafunzi
wenye mahitaji maalum wa Shule ya Msingi Nyerere iliyoko Manispaa ya
Singida.PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa
msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko
nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma. Wengine pichani ni Afisa Masoko
Mwandamizi wa Mfuko huo, Rahma Jemina Ngassa, (kulia), na Meneja wa
PSPF, Mkoa wa Singida
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chididimo, Keneth Henry (kulia) na Marina Hamisi, wakisoma risala.
Afisa
Masoko Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, RahmaJemina Ngassa,
akimkabidhi begi mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyerere iliyoko Manispaa
ya Singida.PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii
imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo
iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma
Meneja
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw.Said akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa
Shule ya Msingi Nyerere iliyoko mkoani humo.PSPF
kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari
kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya
Dodoma
Balozi
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, na Afisa Masoko
Mwandamizi wa Mfuko huo, wakiwa katikati ya wanafunzi wa Shule ya Msingi
Nyerere, wakati walipofika kutoa msaada wa mabegi na madaftari kwa
baadhi ya wanafunzi hao wenye mahitaji maalum . PSPF
kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari
kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya
Dodoma
Kaimu
Afisa Elimu wa Manispaa ya Dodoma, Christopher Legonda, (kushoto),
akitoa shukrani zake baada ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoa msaada wa
mabegi na madaftari kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Chididimo
iliyokonje kidogo ya Manispaa hiyo .Wakwanza kulia ni
Balozi wa PSPF, Flaviana Matata, na katikati ni Afisa Masoko Mwandamizi
wa Mfuko huo, Rahma Jemina Ngassa. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia
jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya
Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida
Bright Mzava
Mwalimu
Mkuu wa Shule ya Msingi Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya
Dodoma, Bright P. Mzava, akizungumza kwenye hafla hiyo ya kupokea msaada
wa vifaa vya Shule kwa wanafunzi wa Shule hiyo.
Balozi
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, na Afisa Masoko
Mwandamizi wa Mfuko huo, wakiwa katikati ya wanafunzi wa Shule ya Msingi
Nyerere, wakati walipofika kutoa msaada wa mabegi na madaftari kwa
baadhi ya wanafunzi hao wenye mahitaji maalum. PSPF
kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari
kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya
Dodoma
No comments:
Post a Comment