Monday, 21 September 2015

Wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) kitivo cha HIFADHI YA JAMII (Social Protection) watembelea kituo cha watoto ya tima SINZA jijini 
Dar es salaam. 

wakibadilisha mawazo na watoto wa hicho kituo siku hyo wakiwa na nyuso za furaha.    




 
      
Mmoja kati ya Wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) akiwa na picha ya pamoja na watoto wa IJANGO ZAIDIA ORPHANAGE.


Picha ya pamoja na watoto wakitu hicho cha watoto ya tima


No comments:

Post a Comment