Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawsiliano toka bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa akitoa ufafanuzi kuwa Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya
mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo
waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa
sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya
Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.
.
Kwa mawasalianao wanapatikana kwa namba za hapo juu.
No comments:
Post a Comment